UDAHILI WA WANAFUNZI WA TIBA KUONGEZEKA MARA TATU CHUO CHA MUHAS KUPITIA MRADI WA HEET
Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27,2025 Dar es Salaam. wakati wa ziara ya kuangalia utekelezaji wa mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi HEET unaoendelea katika Kampasi ya Mloganzila. Mratibu wa mradi wa elimu ya juu…