Lema: Kwenye uchaguzi huu, sitakimbia tena nchi
Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema kuwa hatakimbia tena nchi kwenye uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Lema aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha Mjini alikimbilia nchini Canada mwaka 2020 baada ya uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais kwa kile alichodai kuhofia maisha yake kabla…