Mcolombia Azam amvulia kofia Bacca
BEKI kisiki wa Azam FC, Fuentes Mendosa ameshindwa kujizuia na kukiri kuwa Ibrahim Hamad ‘Bacca’ anayekipiga Yanga alistahili kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana na aina ya uchezaji wake ambao umekuwa ukimvutia. Bacca anashikilia tuzo ya Mchezaji Bora wa Zanzibar na Beki Bora wa Ligi Kuu Bara msimu ulioisha, ametajwa na Mendosa kuwa anavutiwa…