Upelelezi bado kesi ya kusababisha hasara ya Sh2.1 bilioni TGFA
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa uchunguzi wa kesi ya kuchepusha fedha na kuisababisha hasara ya Sh2.16 bilioni Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) unaendelea. Kesi hiyo inamkabili mhasibu wa benki ya Habib African, Clement Kiondo (42) na wenzake tisa, wakiwemo wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wanaoshtakiwa kwa mashtaka…