DC SAME AWAONYA WAFUGAJI WANAOHUJUMU SKIMU ZA UMWAGILIAJI.
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewatahadharisha wafugaji wanao hujumu miundombibumu kwa kuingiza mifugo kwenye maeneo ya Skimu za umwagiliaji za Ndungu na Kihurio kuacha mara moja. Aidha amewaagiza Viongozi wa Skimu na Serikali kwenye maeneo hayo lazima kuwe na usimamizi mzuri wa sheria na taratibu zote zinazohusiana…