Vibaka Moro waja na mbinu mpya, watumia kanzu, majuba

Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linafuatilia taarifa za baadhi ya wahalifu kutumia mavazi aina ya kanzu na majuba kufanya uhalifu hasa asubuhi. Hayo yameelezwa na kamanda wa polisi mkoa huo, Alex Mkama leo Jumatatu Agosti 26, 2024 alipozungumza na Mwananchi, akisema tayari wana taarifa za aina mpya ya uhalifu huo na wanazifanyia kazi. “Hizi…

Read More

Polisi Tanzania yawaonya tena wanaopanga maandamano

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania, limewaonya kwa mara nyingine watu wanaopanga maandamano ya amani yasiyokuwa na kikomo, yaliyopigwa marufuku baada ya kukosa sifa za kisheria kufanyika kwa mujibu wa Katiba. Maandamano hayo yaliyopangwa kuanza kufanyika jana Jumanne Desemba 9,2025 katika maeneo mbalimbali nchini, lakini yalishindikana baada ya polisi na vyombo vingine vya ulinzi…

Read More

TPA bingwa mashindano ya Shimmuta 2024

  MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeibuka kidedea baada ya imefanikiwa kunyakuwa Ubingwa wa Jumla wa Mashindano ya SHIMMUTA kwa mwaka 2024 katika michuano iliyofanyika jijini Tanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga … (endelea). Katika mashindano hayo ambayo yalifungwa rasmi na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, yalishuhudia…

Read More

Winga Bunda Queens hadi dirisha dogo

WINGA wa Bunda Queens, Nelly Kache amesema kama mambo ya usajili hayatakamilika hadi dirisha dogo basi atarejea kwao Kenya. Nyota huyo raia wa Kenya kabla ya kuitumikia Bunda alizichezea Alliance Girls (2023/24), Tiger Queens (2022/23) na Fountain Gate Princess (2021/22). Hadi sasa Bunda kwenye michezo miwili ya Ligi iliwatumia wazawa kutokana na kushindwa kugharamia vibali…

Read More