TMA yatoa angalizo la mvua kubwa
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ikieleza kuhusu matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano katika maeneo machache ya ukanda wa Ziwa Victoria na Magharibi ya nchi. Taarifa ya TMA iliyotolewa Alhamisi Novemba 21, 2024 inatoa angalizo la mvua kubwa kwa maeneo machache ya ukanda wa Ziwa…