Mmoja afariki wawili walazwa Hiace ikigonga watembea kwa miguu
Mwanza. Mkazi wa Mahina jijini hapa, Anastazia Katabazi (32) amefariki dunia kwa kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga watembea kwa miguu wengine sita. Majeruhi wawili wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure na wengine watatu wametibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani baada ya hali zao kuendelea vizuri. Akizungumzia ajali…