Meridianbet Yazidi Kupaa Kwa Kuwaongeza Aspect Gaming na Superspade Games

DUNIA ya kasino mtandaoni inazidi kupendeza, na Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kuleta ubunifu na burudani isiyo na mipaka. Safari hii, jukwaa hilo linaendeleza ubora wake kwa kuwakaribisha watoa huduma wawili wakubwa, Aspect Gaming na Superspade Games, wanaokuja na michezo ya kiwango cha juu inayochochea msisimko kwa wapenzi wa kasino kote nchini. Aspect Gaming inakuja…

Read More

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO SABASABA 2024

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA…

Read More

Watoto wa Mafuru waelezea maisha ya wazazi wao

Dar es Salaam. Ni historia iliyoibua hisia za simanzi kwa waombolezaji, wakati watoto wa marehemu Lawrence Mafuru, Lona na Loreen walipokuwa wakimwelezea baba yao kwenye ibada ya mwisho ya kumuaga. Mwili wa Mafuru utazikwa leo Novemba 15, 2024 kwenye makaburi ya Kondo, Tegeta baada ya ibada hiyo. Mafuru aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango…

Read More

Aliyekuwa Spika Bunge la Ukraine auawa kwa kupigwa risasi

Dar es Salaam. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Ukraine, Andriy Parubiy ameuawa kwa kupigwa risasi katika Jiji la Magharibi la Lviv jana Jumamosi, kwa mujibu wa taarifa za Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu. Taarifa zinaeleza kuwa,  mtu mwenye silaha alifyatua risasi kadhaa na kumuua Parubiy papo hapo kisha kukimbia na msako mkubwa umeanzishwa kumtafuta muuaji…

Read More

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ili kukagua maendeleo ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 na 19 Januari 2025. Ukumbi huo, wenye uwezo wa kuchukua…

Read More

MIRADI YA UTALII KULETA MAGEUZI

*********** Na Mwandishi wetu – Singida Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea kuimarisha Sekta ya Utalii, kwa kuweka mikakati mbalimbali ya kuchechemua ongezeko la watalii na kukuza pato la Taifa kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Utalii (TDL). Akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao kazi cha viongozi wa Taasisi za Wizara hiyo zinazotekeleza miradi kupitia mfuko huo,…

Read More

Mpina yametia ACT, kumvaa Samia urais 2025

Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani na fomu ya urais jana Jumatatu, Agosti…

Read More

Mstaafu anapojiuliza Iko wapi nchi aliyoijenga mwenyewe?

Siku chache zilizopita, Mstaafu wetu alikuwa na mawasiliano na mstaafu mwenzie na kujadiliana mambo mbalimbali. Ndio, Mstaafu wetu alikuwa na mawasiliano na mstaafu huyo aliyemtumia ujumbe kumuuliza kama hii bado ni nchi yao kweli waliyojenga kwa damu na jasho lao lakini sasa inafikia hatua ya kuitana kenge ndani ya Bunge la nchi na ikaonekana ni…

Read More