Hivi ndivyo anavyopaswa kulala mjamzito

Dar es Salaam. Mwanamke anapopata ujauzito hupitia mabadiliko mbalimbali ya mwili na afya yake. Inaelezwa mara zote mabadiliko hayo husababishwa na mtoto aliyetumboni, lakini pia, kuongezeka kwa homoni mwilini mwake. Wataalamu wanasema mabadiliko hayo huyafanya maisha ya mjamzito kubadilika kuanzia kwenye mavazi, chakula, uwezo wa kutekeleza majukumu ya kila siku sambamba na namna ya kulala….

Read More

THRDC yapongeza hali ya huduma za jamii kurejeshwa Ngorongoro

Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua nzuri aliyoichukua ya kutuma wajumbe wake na kurejeshwa kwa huduma za kijamii kwa wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro. Pamoja na hayo wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kutembelea Tarafa ya Ngorongoro, ili kuwasikiliza…

Read More

MO Dewji atoa kauli nzito Simba

RAIS wa klabu ya Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, humu akiwahamasisha wanasimba kwamba mnyama atanguruma popote na Jumapili itabeba ndoo. Simba inatarajiwa kurudiana na RS Berkane ya Morocco Jumapili ya Mei 25 baada ya…

Read More

Kocha Simba hakamatiki Rwanda | Mwanaspoti

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, ameendelea kuonyesha umahiri wake wa kiufundi Ukanda wa Afrika Mashariki akiwa na Rayon Sports ya Rwanda. Kocha huyo amekuwa na mwanzo mzuri wa msimu, akiiongoza timu hiyo kuvuna pointi 23 katika mechi tisa za Ligi Kuu Rwanda ikishinda saba na sare mbili. Chini ya uongozi wake, Rayon…

Read More