Kauli za mamlaka za Serikali hofu ya nyanya zenye dawa kukutwa sokoni
Dar es Salaam. SerikaliĀ kupitia Wizara ya Kilimo na Viwanda na Biashara, zimewasisitiza wakulima kufuata kanuni sahihi za kilimo zilipozungumzia kuhusu taarifa za uwepo wa nyanya sokoni zenye mabaki ya viuatilifu. Septemba 29, 2025 Mwananchi liliripoti uwapo wa nyanya zenye mabaki ya viuatilifu sokoni, huku wakulima na wafanyabishara wakisema uwepo wake husaidia isipondeke, kuharibika na kukaa…