DCB yazindua kampeni ya “Tuko Ground na Wenyewe” kuhamasisha huduma za kidigitali
Na Mwandishi Wetu Benki ya DCB Commercial Bank Plc imezindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”, yenye lengo la kuongeza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali nchini. Kupitia kampeni hiyo, wateja wa DCB wataweza kufungua akaunti kwa njia ya mtandaoni wakiwa popote walipo na kutuma fedha bure kwenda…