Thamani ya kura yako ni sauti yako, nguvu yako

Nakaribia kutimiza umri wa miaka 60. Tangu uchaguzi wa mwaka 1990 hadi uchaguzi wa mwaka huu, nimepiga kura mara saba na uchaguzi ujao utakuwa wa nane. Kwa zaidi ya miaka 40, nimekuwa nikitimiza wajibu wangu wa kidemokrasia kwa kupiga kura. Hata hivyo, katika kipindi chote hicho, sijawahi kufundishwa wala kuelezwa kwa kina kuhusu thamani halisi…

Read More

Chadema katika kitendawili | Mwananchi

Dar es Salaam. Ukiacha ajenda tatu zilizowekwa wazi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inapokwenda kwenye kikao cha Kamati Kuu kesho Ijumaa, Mei 23, 2025, yapo mambo mengine magumu yatakayohitaji mijadala na uamuzi mgumu. Kikao hicho kinafanyika katikati ya misukosuko ambayo chama hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kinapitia, kubwa ikiwa ni utitiri…

Read More

Kizungumkuti ishu ya Kapama, Fountain Gate na Kagera Sugar

KIUNGO Nassor Kapama amezua maswali baada ya kuonekana akijifua na Fountain Gate kisha ghafla kurudi chaka lake la zamani wa Kagera Sugar iliyomtambulisha juzi, lakini Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Thabit Kandoro afunguka sababu iliyomrudisha. Kiungo huyo wa zamani wa Simba ni miongoni mwa wachezaji wakongwe wa klabu hiyo, lakini katika kipindi cha dirisha dogo…

Read More

Punguza unene kwa kula kabichi mara tatu kwa siku

Msingi wa utafiti huo ni kuwa kabichi ina madini maarufu kama fibre, asidi na vitamini ambayo yanasaidia kupunguza mafuta mengi ndani ya mwili wa mwanamume. Kula kabichi mara tatu kwa siku kunapunguza unene kupita kiasi miongoni mwa wanaume, wanasayansi wamebaini. Katika utafiti uliochapishwa kwenye jarida la BMJ Open, kabichi iliyotiwa chumvi, kuchachuka na pia kuongezewa…

Read More

Mawakili waainisha dosari wakiomba ‘waliotumwa na afande’ waachiwe huru

Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba kuzijibu Juni 12, 2025. Warufani wanaiomba Mahakama kufuta kesi, hati ya mashitaka na hukumu iliyotolewa dhidi yao wakidai ilikuwa kinyume cha sheria. Waliokata rufaa ni Nyundo aliyekuwa…

Read More