‘Kila la kheri, hatukudai’ maneno ya mwisho kwa Zimbwe Msimbazi
KITENDO kilichofanywa na aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kuwaaga wanachama na mashabiki wa timu hiyo aliyoitumikia kwa miaka 11 kimeibua hisia za mashabiki hao na mastaa mbalimbali waliomtakia kila la kheri. Usiku wa kuamkia jana Tshabalala amewaaga wanasimba kuwa hatakuwa sehemu ya timu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 11, ndipo walipoivamia akaunti yake…