Mjadala sharti la Marekani kuweka dhamana ya viza kwa Watanzania
Dar es Salaam. Hatua ya Marekani kuweka sharti la dhamana ya viza kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo imezua mjadala miongoni mwa wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia, wakionya kuwa masharti hayo yanaweza kuleta athari mbalimbali. Wameeleza kuwa hatua zilizoanza kuchukuliwa na Serikali zina umuhimu wa kipekee katika kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baina…