Gachuma, DC Serengeti walivyonusurika kifo ajalini

Musoma. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayewakilisha mkoa wa Mara, Christopher Gachuma pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota wamepata ajali ya gari jana Februari 9, 2025 wakiwa njiani kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira. Akizungumza leo Jumatatu Februari 10, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

Zaidi ya nusu ya bajeti ya Wizara ya Fedha kulipa madeni

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Fedha ya Sh20.3 trilioni kwa mwaka wa fedha 2025/26, huku Sh14.21 trilioni zimetengwa mahsusi kwa ajili ya kulipia deni la Serikali linalotarajiwa kuiva ndani ya mwaka huo wa fedha. Mbali na hayo, Mbunge wa Ole (CCM), Juma Hamad Omari, amelalamikia malipo madogo ya pensheni kwa wastaafu waliotumika katika…

Read More

Job amaliza utata Yanga | Mwanaspoti

KIPINDI hiki cha kuelekea kumalizika kwa msimu, taarifa ambazo Wanayanga wanahitaji kuzisikia mbali na mambo mengine, ni maendeleo ya kikosi chao na mustakabali wa mastaa wa kikosi hicho hasa wale mikataba yao inayoelekea ukingoni. Katika hilo, kuna nyota kadhaa wanaomaliza mikataba mwishoni mwa msimu huu akiwemo beki na nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job….

Read More

TBS kudhibiti wauza vipodozi, bidhaa mtandaoni

Dar es Salaam. Wakati wimbi la wafanyabiashara mtandaoni wakiwamo wa vipodozi likizidi kuongezeka, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema linaendekea na maboresho ili kuangalia namna gani wanaweza kuzidhibiti ubora wa bidhaa mtandaoni. Hilo limesemwa wakati ambao mitandaoni kumeibuka wimbi la wafanyabiashara hasa wa vipodozi ambao wamekuwa wakiandaa bidhaa kwa kuchanganya vitu mbalimbali na kuuza kwa…

Read More

DAWASA yamaliza kero ya maji Nyakahamba iliyodumu kwa miaka 5

Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha   Nyakahamba Kata ya Kerege  Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumzia utekelezaji wa mradi huo, Meneja wa Mkoa wa DAWASA…

Read More

Wabunge wataka tozo za miamala zipunguzwe

Dodoma. Baadhi ya wabunge wamesema tozo kubwa zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki kupitia benki na simu zimekuwa kikwazo kwa wananchi, hali inayochangia watu wengi kuepuka kutumia huduma hizo za kifedha. Wabunge wamesema hayo leo, Juni 19, 2025, wakati wakichangia kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2025/26, hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2024, na…

Read More