Vodacom Tanzania, Soko la Hisa la Dar es Salaam kuwawezesha Watanzania kiuchumi, wazindua DSE Mini App ndani ya M-Pesa Super App

Vodacom Tanzania Plc imetangaza rasmi kuingia katika ushirikiano wa kidijitali na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kwa kuzindua programu ya DSE Mini App kupitia M-Pesa Super App ya Vodacom. Ushirikiano huu wa kimapinduzi unalenga kuleta mabadiliko katika upatikanaji wa masoko ya mitaji nchini Tanzania kwa kuwawezesha wawekezaji kununua, kuuza, na kusimamia uwekezaji…

Read More

Kicheko Ziwa Tanganyika likifunguliwa upya

Kigoma. Serikali imelifungua rasmi Ziwa Tanganyika baada ya kufungwa kwa kipindi cha miezi mitatu tangu Mei 15, 2024 huku ikikemea uvuvi haramu unaosababisha upungufu wa mazao ya uvuvi ziwani humo. Serikali ilisitisha shughuli za uvuvi katika ziwa hilo linalozungukwa mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa hadi Agosti 15, 2024 ili kuruhusu samaki kuzaliana na kuongeza…

Read More

Uyoga unavyosaidia kuimarisha mishipa ya fahamu

Dar es Salam. Uyoga  ni chanzo kizuri cha madini ya chuma, shaba na protini ambayo hufanya vizuri katika mwilini wa binadamu. Kama ulikuwa hufahamu uyoga una nyuzi nyuzi nyingi na hauna mafuta  na chumvi ya sodium. Mtaalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula, Francis Modaha, anasema uyoga una kundi la vitamini B kwa wingi, yaani vitamini B2  (Riboflavin), Niacin na Pantothenic acid. Anasema…

Read More

Fahamu umuhimu, hatari ya mionzi kwa binadamu

Dodoma. Licha ya kutumika kutibu na kuchunguza maradhi kwenye mwili wa binadamu, mionzi ya X-Rays na Gama Rays ambayo haijadhibitiwa inaweza kusababisha maradhi kama saratani na kifo endapo itamfikia mtu kwa nje. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), Profesa Najat Mohammed, jijini Dodoma, wakati wa mahojiano na Mwananchi…

Read More