Familia, marafiki wamlilia MC Pilipili
Dodoma. Vilio simanzi na majonzi vimetawala nyumbani kwa aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji wa shughuli mbalimbali nchini, marehemu Emmanuel Mathias (MC Pilipili) aliyefariki jana mchana jijini Dodoma. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu Mc Pilipili alikwenda jijini Dodoma kwa ajili ya kusherehesha harusi iliyokuwa ifanyike jana Jumapili Novemba 16,2025 lakini alikutwa na umauti na sababu za…