Andaeni suti mapema fainali Azam, Yanga

Baada ya kushuhudia Yanga ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sasa macho ya wapenda soka yapo visiwani Zanzibar kwenye fainali za Kombe la Shirikisho. Yanga ilitinga fainali baada ya kuichapa Ihefu bao 1-0 likifungwa na kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI katika dakika ya 100 huku Azam ikiingia hatua hiyo baada ya kuitandika Coastal Union…

Read More

Waziri Ndumbaro: Wakati wa uchaguzi Serikali haitakuwa likizo

Dodoma. Zimwi la kutoa vibali vya viwanja kwa watu zaidi ya mmoja limezidi kuwaandama maofisa ardhi na sasa wametakiwa kushitakiwa kwa makosa ya utapeli. Mbali na maofisa ardhi, Serikali imeagiza watakaokiuka Sheria katika kipindi cha uchaguzi washitakiwe haraka mahakamani sawa na wanaodhurumu mali za mirathi kwani ni makosa yasiyopaswa kufumbiwa macho. Agizo hilo limetolewa jana…

Read More

Tanzania, India zaingia makubaliano kuendeleza tiba asili

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) yenye lengo la kuibua, kukuza na kulinda tiba asilia katika mifumo ya kisheria na kidijitali, hatua iliyopongezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kama mchango muhimu katika kuimarisha mifumo ya afya duniani. Makubaliano hayo yamesainiwa jana, Desemba 20, 2025 nchini India mbele…

Read More

Samia aonya makundi kuelekea uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya wanachama wa chama hicho kujiepusha na makundi na kampeni za mapema katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Samia amesema hayo leo Jumamosi Januari 18, 2025 katika mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma ukilenga kuziba nafasi ya…

Read More

INEC yatoa angalizo kauli zinazochochea uvunjivu wa amani

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imeonya wanasiasa wanaotoa kauli kuhamasisha uvunjifu wa sheria kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele alisema hayo Septemba 9, alipoulizwa na Mwananchi kuhusu kauli za baadhi ya wanasiasa, wakiwamo wagombea wanaohamasisha wananchi kulinda kura. Jaji Mwambegele alisema kufanya hivyo…

Read More