MIPANGO KABAMBE NA NDOTO KUU ZA MAFANIKIO YANGA ZILIZOBEBWA NA MIGUEL GAMOND – MWANAHARAKATI MZALENDO
Katika ulimwengu wa soka, ambapo kila dakika ni fursa ya kujenga au kubomoa ndoto, kocha mahiri Miguel Gamondi anaonekana kuwa na ramani ya ushindi iliyochorwa kwa umakini mkubwa. Akijiamini lakini akiwa na miguu yote miwili ardhini akijiaanda kukikabili kikosi cha Vital O ya Rwanda hapo kesho, Gamondi anafahamu kwamba mechi iliyopita ilikuwa tu sehemu ya…