Afariki ajalini Tanga akielekea Moshi, wanne wajeruhiwa
Tanga. Safari ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi mjini Moshi imegeuka majonzi baada ya dereva wa gari dogo, Justine Jacobo Njau (32), kufariki dunia papo hapo na wengine wanne wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajiri ya Desemba 25, 2025, mkoani Tanga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ajali hiyo ilitokea…