DC MPOGOLO ATUNIKIWA TUZO – MICHUZI BLOG
MTANDAO wa Polisi Wanawake Tanzania (TPF-Net) Wilaya ya Ilala umemtunuku tuzo maalumu Mkuu wa wilaya hiyo Edward Mopogolo ya kutambua mchango wake katika kujenga jamii salama,jumuishi na yenye usawa wa kijinsia DC Mpogolo amekabidhiwa tuzo hiyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo. Aliushukuru mtandao TPF Net kwa kutambua mchango huo na kwamba tuzo hiyo…