Samia: Tanzania iheshimiwe kama inavyoheshimu wengine
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania kama Taifa linapenda liheshimiwe kama linavyoheshimu mataifa mengine na katika kulinda masilahi ya nchi, hakuna mbadala. Amesema lazima kuhakikisha tunalinda utu, uhuru, na heshima ya Taifa letu na kwamba nchi itaendelea kuongozwa kwa misingi ya sera ya nje iliyoasisiwa na waasisi ya kutofungamana na upande wowote….