SBL yaibuka kinara mzalishaji wa Pombe Kali Tuzo za PMAYA 2024

SERENGETI Breweries Limited (SBL) imeibuka kuwa mzalishaji bora wa pombe kali kwenye Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA), zilizofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Tuzo za PMAYA, ambazo ni miongoni mwa heshima za juu kabisa kwa wazalishaji nchini Tanzania, zimeundwa kutambua na…

Read More

Yanga yasaka saini ya kiungo wa Gor Mahia

YANGA imesharejea jijini Dar es Salaam na ilikuwa ikijiandaa kwenda Zanzibar kwa ajili mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kabla ya kuweka kambi visiwani humo kusubiri Dabi ya Kariakoo ya Juni 25, huku mabosi wa klabu hiyo wakiendelea kufanya usajili wa kimyakimya kwa kikosi kijacho. Yanga inayoshikilia ubingwa wa Ligi Kuu kwa…

Read More

LALJI FOUNDATION YAFADHILI KAMBI YA MADAKTARI BINGWA KASULU

Wananchi na wakazi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamejitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya ya Kasulu kupata huduma za kibingwa kutoka kwa madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma Maweni, ambao wamepiga kambi ya siku nne mfululizo. Wakizungumza wananchi hao wameiomba serikali na Taasisi binafsi kuwa na…

Read More

Je Bingwa Mtetezi Kuangukia Pua Msimu Huu?

Last updated Dec 17, 2025 Je msimu huu Liverpool anaweza kutetea taji lake la EPL kwa matokeo ambayo anayapata hivi karibuni?. Pesa nyingi imetumika kufanya usajili lakini bado mambo si shwari klabuni hapo. Bashiri mechi zote na Meridianbet Leo. Ligi Kuu ya Uingereza yaani (EPL) umeibuka kuwa mmoja wa misimu yenye ushindani mkubwa katika…

Read More

MUME WANGU ANATIMIZA MAJUKUMU YAKE NDANI YA NDOA

Ni ukweli kwamba kila mwanamke anapoolewa anafuata mapenzi ya kweli kwa mume wake, vingine vyote anakuwa ameviacha nyumbani kwao. Jina langu ni Mama Janeth kutokea Babati, nimeishi kwenye ndoa miaka saba sasa, nashukuru mimi na mume wangu tumejaliwa kupata watoto wawili na maisha yetu wanasoga vizuri. Baada ya miaka minne ya ndoa yetu, mume wangu…

Read More

Himid abadili jezi Misri | Mwanaspoti

KIUNGO Mtanzania, Himid Mao Mkami anayeitumikia El Gaish ya ligi kuu Misri amesema msimu huu atatumia jezi namba 13 badala ya 3 ambayo alikuwa anatumia baada ya namba hiyo kuombwa na mchezaji mwenzake. Tayari chama la nahodha huyo wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ imecheza mechi mbili, ikishinda moja na kupoteza moja huku Himid akianza…

Read More

Wazazi pelekeni vijana wenu shule – Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi wahakikishe vijana wao wanakwenda kusoma kwenye shule za sekondari kwani bila elimu hawawezi kufika mbali. “Wazazi wenzangu hakikisheni vijana wenu wanaenda shule. Hatuwezi kufika mbali kama vijana wetu hawaendi shule. Tunajenga shule kila mahali, tunataka maeneo yote yawe na shule,” alisema. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa…

Read More

Abdallah Shaibu ‘Ninja’ aeleza dili la Congo

BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefichua juu ya dili la kujiunga na FC Tanganyika inayoshiriki Ligi Kuu ya DRC Congo. Mwanzoni mwa mwaka huu Ninja alithibitisha yupo kwenye mazungumzo na klabu hiyo ikiwa ni wiki chache tangu aachane na FC Lupopo. Ninja alijiunga na Lupopo msimu uliopita akitokea Lubumbashi Sports ya nchini…

Read More

Trafiki matatani kwa madai ya kudhalilisha Jeshi la Polisi

Dar es Salaam. Askari wa usalama barabarani walioonekana wakichukua rushwa kutoka kwa madereva wa daladala, wamekamatwa na Jeshi la Polisi. Video iliyosambaa mitandaoni leo Januari 15, imewaonyesha askari hao, mmoja wa kike na mwingine wa kiume wakipokea vitu vinavyodhaniwa kuwa fedha kutoka kwa madereva wa daladala zilizosimamishwa na kisha kuwaruhusu waondoke eneo la Vingunguti, Dar…

Read More