Basi moja limelipuka na kuua watu wasiopungua 12 nchini Afrika kusini
Basi moja lilipinduka katika eneo la Johannesburg karibu na uwanja mkuu wa ndege wa Afrika Kusini mapema Jumanne na kuua watu wasiopungua 12 mamlaka wa mji huo wamesema wengine wamejeruhiwa. Basi hilo lilikuwa limebeba zaidi ya watu 50 waliokuwa wanakwenda kazini wakati lilipoanguka katika barabara yenye shughuli nyingi karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa…