Misaada ya afya WHO kushuka kwa asilimia 40

Dar es Salaam. Msaada rasmi wa maendeleo kwa ajili ya afya (ODA) unaotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaweza kushuka na kufikia kiwango cha chini zaidi kwa muongo mmoja. Msaada wa afya unakadiriwa kupungua kwa hadi asilimia 40 mwaka 2025 ikilinganishwa na viwango vya mwaka 2023, kutoka zaidi ya Dola bilioni 25 (sawa na…

Read More

Mwili wa mwanamke wakutwa ukielea bwawani

Songwe. Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hajafahamika, umekutwa ukielea katika Bwawa la Mbimba, linalotumika kwa shughuli za umwagiliaji kando ya Barabara ya Tanzania – Zambia wilayani Mbozi, Mkoa wa Songwe. Mwili huo umekutwa umeharibika na uliopolewa jana Jumanne Julai 30, 2024 jioni na haijulikani mwili huo kama umetupwa au mtu huyo alitumbukia mwenyewe bwawani humo….

Read More

Kitimwendo charejesha tabasamu la mtoto Hussein

Tabora. Mtoto Hussein Abdala Mkomwanzoka ni mtoto mwenye umri wa miaka 7 mkazi wa Kijiji cha Ndevelwa, Kata ya Ndevelwa Manispaa ya Tabora ambaye amekabidhiwa baiskeli ili kumuwezesha kufika shuleni na hiyo ni kwa sababu ya  ulemavu wa miguu ambao pia imekuwa sababu ya kushindwa kuhudhuria vyema masomo yake. Amesema amefarijika kupata baiskeli kwani awali…

Read More

‘Ndoa sawa na mche, ipalilie istawi’

Ndoa ina pandashuka nyingi, kikiwemo kipindi cha wenza kukosa kuchangamkiana kama siku za mwanzo za uhusiano wao. Hii inafanyika kwa wanaochukulia ndoa kama kitu cha kawaida.Wapo wanaohisi kwamba baada ya kufunga pingu za maisha, wana haki ya kumiliki wenza wao. Hisia hizi ziko mbali sana na ukweli wa mambo kwa kuwa zinachozaa ni watu kuchoshwa…

Read More

Adha ya mvua nchini, daraja lafungwa

Simiyu/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara kwenye daraja wilayani Maswa mkoani Simiyu. Hayo yakitokea, katika maeneo mengine nchini wananchi wametakiwa kutorejea maeneo hatarishi, huku viongozi wakijizatiti kutoa elimu kwa umma ili kudhibiti maafa. Wilayani Maswa mkoani Simiyu mvua imesababisha daraja kufungwa katika Kijiji cha Bugarama, kwenye Mto Nyamli kutokana na kuwa hatarini…

Read More

Wagombea 25 wajitosa uchaguzi TFF

BAADA ya uchukuaji na urudishaji wa fomu kutamatika jana Juni 20, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kiomoni Kibamba amesema wagombea sita wa urais wamezirudisha, huku wajumbe wa Kamati ya Utendaji ikiwa ni 19. Uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi za uongozi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa…

Read More