Chalamila awaomba radhi watumiaji wa mwendokasi
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi wakazi wa Kimara kuhusu adha wanayopitia wanapohitaji kutumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka, ikiwemo kupita dirishani. Ametoa kauli hiyo huku akiwapa ahadi ya neema siku chache zijazo, wakati ambao mabasi mapya yanatarajiwa kupokelewa. Haya yanasemwa wakati ambao Kampuni ya Mabasi Yaendayo…