Kimbunga Melissa kinaharibu Karibiani kama UN inasambaza misaada ya kuokoa maisha – maswala ya ulimwengu

Picha kutoka UNICEF zinaonyesha athari za uharibifu huko Jamaica, na vitongoji vimeingizwa katika maji na jamii kukosa upatikanaji wa huduma nyingi za msingi. Mikopo: UNICEF na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Novemba 06, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Novemba 6 (IPS) – Mwishowe Oktoba, Kimbunga Melissa, dhoruba ya nguvu ya…

Read More

WAZIRI BASHE AWAPIGA MARUFUKU WANAONUNUA KAHAWA KWA NJIA YA KANGOMBA, AGUSIA UWEKEZAJI

Na Mwandishi Wetu,Ruvuma. WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza uwekezaji mkubwa unaofanywa katika zao hilo umelenga  kuteka soko la kahawa ya Tanzania kimataifa. Amesisitiza Serikali kwa sasa inawekeza katika kahawa kwa kugawa miche na mbolea ya ruzuku hivyo,anatarajia kupigwa vita na wafanyabiashara…

Read More

UNAKAAJE KINYONGE WAKATI KUNA RICH PANDA?

HABARI ya mjini sasa hivi ni Rich Panda mchezo mpya wa Sloti ambao unatoa fursa ya kushinda mkwanja wa kutosha kupitia mchezo huu pendwa kwasasa mjini. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namna rahisi ya kuweza kucheza mchezo huu, Pitia tovuti ya Meridianbet sasa uweze kucheza mchezo…

Read More

WANANCHI CHALINZE WAJIPANGA KUWEKEZA – Mzalendo

  Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi wa fedha binafsi, jinsi ya kupanga mapato na matumizi ili kuweka akiba na kujikwamua kiuchumi pamoja na kujiandaa na maisha ya baadaye, wakati Maafisa wa Wizara ya Fedha walipokuwa wakitoa elimu ya…

Read More

CCM yakusanya zaidi ya Sh86 bilioni chini ya saa 24

Dar es Salaam. Ndani ya saa 24, Chama cha Mapinduzi (CCM), kimekusanya zaidi ya Sh86 bilioni katika harambee iliyoanzishwa ya kuchangia shughuli za kampeni za urais na ujenzi wa chama hicho. Kati ya fedha hizo, zaidi ya Sh56.3 bilioni zimelipwa papohapo, huku zaidi ya Sh30.2 bilioni ni ahadi zinazotarajiwa kulipwa na wadau, makada na washabiki…

Read More

Hakikisha uamuzi wako ufanane na malengo ya kifedha

Kufanya uamuzi sahihi wa kifedha ni hatua muhimu kuelekea kufanikisha malengo yako ya kifedha, iwe ni kununua nyumba, kuanzisha biashara, kuwekeza, au kujiandaa kwa uzeeni. Uamuzi huo unahitaji mpango mzuri, nidhamu na tathmini makini ya vipaumbele vyako vya kifedha. Ili uamuzi uufanyao uendane na malengo yako ya kifedha, unatakiwa kufuata hatua kadhaa, ikiwemo kutambua malengo…

Read More

Utaratibu kura za maoni CCM zitakavyopigwa

Dar es Salaam. Wakati kesho Jumatatu Agosti 4, 2025 Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiendesha kura za maoni za udiwani, ubunge na uwakilishi kwa Zanzibar, imeelezwa mchakato utafanyika kwa kila kata kutokana na marekebisho mbalimbali ya katiba ya CCM ya mwaka 1977. Katika marekebisho hayo yaliyofanyika katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Januari 18-19, 2025 yaliwezesha kuongeza idadi…

Read More