Wataalamu waeleza mitandao ya kijamii ‘inavyowatesa’ watu
Dar es Salaam. Wataalamu wa mawasiliano, afya ya akili na uchumi wameonya kuwa, utegemezi wa Watanzania katika mitandao ya kijamii umefikia kiwango cha kutisha kiasi cha kuathiri uamuzi wao wa kila siku, kuanzia namna wanavyotumia fedha, mtazamo wa maisha, wa kisiasa na kijamii. Ongezeko la matumizi ya simu janja na kasi ya majukwaa kama TikTok,…