Nondo za Maaskofu kuhusu amani
Dar/Moshi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, wamewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na ustahimilivu, huku wakisisitiza umuhimu wa kupenda kusema ukweli na kujiepusha na uongo. Viongozi hao wamesema hayo kwa nyakati tofauti leo Jumapili, Oktoba 19, 2025, jijini Dar…