Dk Nchimbi ahitimisha kampeni Tabora akiahidi viwanda
Tabora. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amehitimisha siku tatu za kampeni mkoani Tabora huku akiahidi ujenzi wa viwanda vya utafiti wa mbegu za kilimo, tumbaku na cha mbolea. Katika mikutano hiyo iliyofanyika majimbo sita ya mkoa wa Tabora kuanzia Oktoba 4 hadi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, Dk…