Dar City yaweka historia, yafuzu 16 bora Basketball Africa League
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Basketball Africa League (BAL), Dar City, imefuzu hatua ya 16 bora ya mashindano hayo ya bara la Afrika, ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu jijini Nairobi, Kenya. Dar City ilijihakikishia nafasi hiyo baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika mashindano ya Road to BAL yaliyofanyika katika Shule ya Kimataifa…