Rais Samia ataka utafiti rasilimali watu sekta ya afya
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya ikamilishe utafiti wa kitaifa, unaoangalia hali halisi ya rasilimali watu katika sekta ya afya Tanzania ili kupata takwimu za nguvu kazi iliyopo ndani na nje ya vituo vya tiba na hatimaye kukabiliana na upungufu uliopo. Rais Samia pia ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha…