Mastaa mtegoni, Gamondi akiita 53 Taifa Stars
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, uteuzi ambao hapana shaka utawaweka katika presha kubwa nyota wa baadhi ya nafasi. Wachezaji hao 53, watapaswa kupunguzwa hadi kubakia 28 ambao wanahitajika…