
Sh2.5 bilioni zatengwa kwa wajasiriamali, biashara endelevu Tanzania
Dar es Salaam. Mradi wa Ubunifu wa Funguo, ambao ni unafadhiliwa kwa pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), Jamhuri ya Finland na Serikali ya Uingereza (FCDO) na kutekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), umetangaza rasmi ufadhili wenye lengo la kuibua uwezo wa wajasiriamali wa Tanzania na kuchochea ukuaji endelevu katika…