
Chaumma kupigia chapuo masilahi watumishi wa umma vijijini
Mpimbwe. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeahidi kushughulikia tofauti za mazingira ya kazi kwa watumishi wa umma endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Pia, kutakuwa na sera ya kuhakikisha watumishi wote wa umma wanalipwa kima cha chini cha mshahara kwa mwezi Sh800,000 baada ya makato ili…