Kalambo achungulia dirisha dogo mapema
KIPA wa Geita Gold, Aaron Kalambo amesema licha ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na kikosi hicho ana uwezo pia wa kuondoka Desemba mwaka huu wakati wa dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa, huku nia yake ni kucheza Ligi Kuu Bara. Kalambo aliyejiunga na kikosi hicho akitokea Dodoma Jiji, alisema, licha ya malengo hayo aliyojiwekea bado…