Pamba Jiji yamkomalia beki Azam FC

BAADA ya beki wa kati wa matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, Abdallah Kheri ‘Sebo’, kukitumikia kikosi cha Pamba Jiji kwa mkopo wa miezi sita msimu wa 2024-25, mabosi wa timu hiyo wanafanya mazungumzo ya kumsajili moja kwa moja. Awali, uongozi wa Azam ulimtoa nyota huyo kwa mkopo kwenda Fountain Gate katika…

Read More

Jumapili ya Balaa La Ulaya Na Faida Za Kifalme

MASHABIKI wa soka wanapata burudani ya kipekee leo, huku miamba wa Ulaya wakipambana vikali kusaka pointi muhimu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na machaguo mengi ya kukupa faida ya haraka. Aston Villa wanawakaribisha Fulham mchana huu. Villa bado hawajapata ushindi msimu huu, lakini wanapambana kwa nguvu kurekebisha hali. Fulham wana safu…

Read More

Zanzibar, Qatar zasaini makubaliano ya Sh25 trilioni

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Dola za Marekani 10 bilioni zaidi ya Sh25 trilioni na kampuni kutoka Qatar. Kiasi hicho cha fedha kinalenga kutumika katika sekta miradi ya kimkakati na kipaumbele ukiwemo uchumi wa buluu, utalii, uhifadhi wa mafuta, bandari na nishati ya umeme. Mkataba huo…

Read More

Mtego nusu fainali Ligi ya KIkapu Dar

MACHO na masikio ni kwa miamba minne wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) na zinasubiriwa mechi za kuamua timu zitakazotinga fainali, huku Dar City ikimenyana na Stein Warriors, huku Pazi ikikipiga na JKT kwa wanaume na kwa wanawake JKT Stars itacheza DB Lioness, huku DB Troncatti ikicheza na Jeshi Stars. Nusu fainali hiyo…

Read More

VITA MASHARIKI YA KATI: Tujipange, bei ya mafuta kupaa

Dar es Salaam. Mpaka sasa vita vya Mashariki ya Kati vinavyohusisha Marekani na Israel dhidi ya Iran vimegharimu maisha ya watu wengi katika mataifa hayo, lakini kwa Afrika vinang’ata kwa namna yake, ikiwemo kupanda kwa bei na changamoto ya upatikanaji wa mafuta. Tayari bei ya mafuta imepanda hadi kufikia karibu Dola 100 za Marekani jana,…

Read More