Kilichoiponza Kirumba chatajwa, Mtanda atoa siku saba
Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali, imebaibishwa kuwa eneo la kuchezea (pitch), kukosekana kwa maji, huduma ya vyoo, kiyoyozi na upungufu wa mabenchi katika vyumba vya wachezaji (dressing room) ndiyo chanzo cha adhabu hiyo. Hayo yameelezwa leo Machi 11, 2025 na Mratibu…