Maboresho ya Mahakama Yarahisisha Upatikanaji wa Haki kwa Wananchi
Katika jitihada za kuboresha upatikanaji wa haki kisheria, Mahakama imefanya maboresho ya kanuni ambazo zimerahisisha mchakato wa kupata haki kwa wananchi, hususan kwa wajasiriamali wadogo. Maboresho haya yanapanua wigo wa wasuluhishi na kupunguza gharama za mashauri, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa haki kwa makundi yote. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Kituo…