SBL WASHIRIKIANA NA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII KUBORESHA UJUZI WA UKARIMU KWA VIJANA WA KITANZANIA
Zaidi ya wanafunzi 100 wa ukarimu watanufaika na fursa za mafunzo zilizoboreshwa ambazo zitazidi kuimarisha sekta inayokua kwa kasi ya utalii na ukarimu nchini Tanzania. Serengeti Breweries Limited (SBL) imesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) katika kupiga hatua muhimu katika kuboresha mafunzo ya ujuzi wa ukarimu. Ushirikiano huu unalenga…