WANAGDSS WATAKA WATUHUMIWA WANAODAIWA KUMBAKA BINTI WA YOMBO WASHUGHULIKIWE
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wamepaza sauti zao kuhakikisha haki inatendekea kwa washtakiwa wanadaiwa kumbaka kwa kundi na kumlawiti binti aliyejitambulisha anatokea Yombo Dar es Salaam ambapo mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani na watuhumiwa wameshakamatwa. Wakitoa maoni yao leo Agosti 21, 2024 katika Semina za Jinsia na Maendeleo ambazo hufanyika kila Jumatano, wanaharakati…