Huu hapa msimamo wa CCM kuhusu ‘No reform, No election’

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa msimamo wake kuhusu kampeni ya No Reform, No Election (bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi) ya Chadema kikisema, chama kimoja hakitaweza kuzuia uchaguzi kufanyika. Katika msisitizo wake kuhusu hilo, CCM kupitia kwa Katibu wake wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla kimesema kwa kuwa uchaguzi ni…

Read More

Sura mbili ndoa za wenza kuishi mbalimbali

Mwanza. Katika zama hizi za kasi ya maendeleo ya teknolojia na uchumi, wanandoa kuishi miji tofauti kwa muda mrefu si jambo la kushangaza. Ni kawaida kwa mfano,  kusikia mume ameajiriwa katika kampuni jijini Mwanza, huku mke akibaki Dar es Salaam kwa sababu za kazi, biashara au malezi ya watoto. Wengine wanaishi mbali kwa sababu ya…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YANOLEWA

Na Mwandishi wetu- Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imelipongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kuendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuhakikisha kunakuwa na ushiriki wa Wananchi katika shughuli za uchumi na kujiletea maendeleo. Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Florent Kyombo wakati…

Read More

Jeshi la Polisi latoa uhakika wa usalama Kariakoo Dabi

Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumatano Juni 25, 2025 huku ikiwaonya wenye lengo la kuleta vurugu na udhalilishaji. Mchezo huo namba 184 wa raundi ya pili wa Ligi Kuu ambao awali ulipangwa kuchezwa Machi 8, 2025, uliahirishwa baada ya…

Read More

Kigogo… Pacome tatizo Aziz KI

JAMAA aliyemleta kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua nchini ametazama kiwango cha mchezaji huyo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa na kusema kinachomzuia staa huyo kuonyesha makali yake zaidi ni nafasi anayocheza. Pacome ambaye amekuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Yanga kuanzia amejiunga na kikosi hicho  alionyesha kiwango cha juu kwenye mechi iliyopita na kutoa pasi mbili…

Read More