Mazishi ya Jenista yaibua kero ya barabara Mbinga
Mbinga/Dar. Wakati aliyekuwa mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama akihitimisha safari yake ya mwisho duniani kwa kuzikwa, kero ya barabara imeibuliwa kwenye maziko yake na kutafutiwa ufumbuzi. Jenista aliyefariki dunia Alhamisi, Desemba 11, 2025 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, kwa ugonjwa wa moyo, amezikwa leo Jumanne, Desemba 16, 2025 katika Makaburi ya Senta…