Trump Ata Saini Kuifungia Misaada Afrika Kusini – Global Publishers
Rais wa Marekani Donald Trump Rais wa Marekani Donald Trump rasmi ametia saini amri ya kufungia msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, baada ya kutishia kufanya hivyo mapema wiki hii. Trump alisema anaweka amri hiyo kwa sababu ya sheria mpya ya ardhi ya Afrika Kusini, ambayo anasema inakiuka haki za watu, na…