Ukuta waiponza Simba Queens kufuzu Ligi ya Mabingwa Africa
MAKOSA ya safu ya ulinzi ya Simba Queens jana yalichangia kwa kiasi kikubwa ipoteze mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa wanawake dhidi ya Police Bullets ya Kenya na kushindwa kufuzu Klabu Bingwa Afrika mwaka huu. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikira huko Ethiopia, Simba Queens ilipoteza…