RAIS SAMIA ACHANGIA MILIONI 35 UJENZI WA KANISA ANGLICAN MAKAMBAKO
News Njombe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingili Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Anglikana Tanzania dayosisi ya Western Tanganyika lililopo katika Jimbo la Makambako mkoani Njombe. Akikabidhi mchango huo kwa niaba ya Rais wakati wa harambee iliyofanyika kanisani hapo katika kata ya Maguvani,mkuu wa…