Sababu zinazompa Kibu thamani | Mwanaspoti

Kibarua kigumu ambacho Simba inacho katika kumbakisha nyota wake Kibu Denis anasaini mkataba mpya kinachangiwa na ufanisi wa mchezaji huyo uwanjani licha ya kutokuwa na takwimu bora za kuhusika na mabao, thamani ya mkataba wake uliopita lakini pia uwepo wa ofa nono mezani kutoka timu nyingine. Licha ya mchezaji huyo mwenye uwezo wa kucheza vyema…

Read More

Eneo la Kitanzini Wajerumani walipokuwa wakinyonga Wahehe kujengwa makumbusho

Iringa. Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema wanatarajia kujenga makumbusho ili kuhifadhi historia ambako Wajerumani wakati wa utawala wao walikuwa wakiwanyonga Wahehe waliomtii Chifu Mkwawa. Eneo hilo, inasemekana kulikuwa na mti uliotumika kuwanyongea raia hao wenyeji na kuwa aliyefikishwa hapo alifungwa kitanzi shingoni na kuning’inizwa hadi kufa. Neno ‘kitanzi’ ndilo lililozaa jina la…

Read More

Boeing 737-9 Max kuanza kutua Dodoma

Dodoma. Wakati Bunge la Tanzania likipitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, Serikali imesema mwishoni mwa mwaka 2024 ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max itaanza kwenda Dodoma mara mbili kwa siku. Pia, Serikali imesema wananchi wa Kipunguni jijini Dar es Salaam waliopisha uwanja wa ndege, wataanza kulipwa fedha zao mwaka huu, baada ya kusubiri…

Read More