Waandamanaji Kenya wachoma magari, balozi zatoa tahadhari

Dar es Salaam. Matukio ya waandamanaji wa Gen Z kuchoma moto mali na ulipuaji wa mabomu ya kutoa machozi yanaendelea kushuhudiwa nchini Kenya. Manadamano hayo yanayofanywa ikiwa ni muendelezo wa kile walichokianza wiki mbili zilizopita, hoja yao kubwa ikiwa ni kukataa muswada wa fedha kwa mwaka 2024, Rais William Ruto kutangaza kutousaini na kuurudisha bungeni….

Read More

Ni Sowah tena Singida BS ikiikaanga Fountain Gate

ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia bao lake la nane msimu huu. Katika mchezo huo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Manyara, Singida Black Stars licha ya kuwa ugenini ilitawala muda mwingi na kuwafanya msimu huu kukusanya…

Read More

VIDEO: Soka lambeba beki Yanga, apandishwa cheo KMKM

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga SC, Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye mchezo wa soka. “Sina budi kushukuru kikosi changu kwa kuweza kunisapoti kwa kila hatua. Nitaendelea kuipambania nchi yangu,” amesema Sajenti Ibrahim Bacca ambaye wazazi wake…

Read More

Mwigulu aonya madereva wa Serikali wanaokiuka sheria

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa watumishi wa Serikali na wasimamizi wa sera wanaokiuka kanuni za usalama barabarani, akisema mwenendo huo unachochea ‘kutokuwa na usawa’ katika utekelezaji wa sheria baina yao na wananchi wa kawaida. Amesisitiza kanuni za usalama barabarani nchini Tanzania zinawahusu watu wote kwa usawa na hazipaswi kutekelezwa…

Read More

NM-AIST yasisitiza ubunifu wa teknolojia

Arusha. Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), Profesa Maulilio Kipanyula amesema taasisi hiyo imejikita kuunganisha taaluma na mahitaji halisi ya jamii. Amesema hilo linafanyika kwa kutumia  ubunifu wa kiteknolojia ambao ni  nyenzo muhimu ya kuzalisha ajira endelevu kwa vijana na kuchochea maendeleo ya Taifa. Akizungumza leo Jumapili,…

Read More

Mpango wa Jiko la jua unakusudia kupanua ufikiaji wa nishati safi nchini Angola – maswala ya ulimwengu

Maoni na Judite Toloko da Silva, Heila Monteiro (Luanda, Angola) Jumanne, Januari 28, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Luanda, Angola, Jan 28 (IPS) – Upataji wa nishati ni muhimu kwa maendeleo endelevu, lakini kwa jamii nyingi za vijijini, bado haijafikiwa. Nchini Angola, kulingana na sensa ya kilimo ya 2019-2020, vijiji vingi vya vijijini ukosefu…

Read More

TBS YATOA ELIMU UDHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA WAWEKEZAJI WA ZABIBU

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi waliotembelea banda la TBS kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wawekezaji wa Zabibu, yaliyofanyika katika Viwanja vya Mashujaa, mkoani Dodoma. Katika maonesho hayo, Afisa Udhibiti Ubora Mwandamizi (TBS) Bi. Sifa Chamgenzi ameeleza umuhimu wa viwango vya ubora katika bidhaa za zabibu,…

Read More

Sakata la Kibu kugomea mkataba udalali watajwa

Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza timu hizo kwenye vita kubwa na picha lake linatisha. Simba inataka kumwongezea mkataba. Yanga inataka kumhamishia kwa Wananchi. Ihefu nao wamemwambia aachane na timu za Kariakoo aendee akatulie mkoani na…

Read More