Samia: Ilani mpya ya CCM itakuwa na mambo mazuri
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho kitaiweka hadharani Ilani yake mpya ya 2025-2030 ambayo itanadiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025. Samia amesema kuwa Ilani hiyo itazinduliwa kesho Ijumaa, Mei 30,2025 na kwamba, itasheheni mambo mazuri kwa maendeleo ya Watanzania. Ameyasema hayo…